NI masaa manne yamebakia niruke na kudondosha laptop yangu kwa furaha hasa ntakapo mwona dadatu Illuminata akilibeba taji la miss Universe 2009. Wadau kaeni mkao wa kula naamka kwa ajili yangu na nyie.Love you.
Kila la Kheri dda Illuminata
Mtoto Wa Mwenzio Si Mkubwa Mwenzio, Mpe UPENDO Kama Umpao Mwanao. MUNGU ATAKUBARIKI.
No comments:
Post a Comment