
my Mwana hapendani mtu amguse kichwani isipokuwa mama, so huwa namfunga hivi si unajua tena, wazazi tusiwasahau wanetu afu si tunatokomea salon. Hapo kakasirika mtu fulani alikuwa akimsaidia kuzifunga.
Mtoto Wa Mwenzio Si Mkubwa Mwenzio, Mpe UPENDO Kama Umpao Mwanao. MUNGU ATAKUBARIKI.
No comments:
Post a Comment